Nanuka
Coworker aliniita kando akasema nanuka nguo hazijakauka. I tell you nimeshindwa kulala juu ya embarrassment. Naishi basement so ni baridi juu haina natural lighting. But I try kuaerete by opening windows na kuanika bedding na nguo. So inakaa nimezoea hiyo smell. Ilibidi ninunue downy na kuweka steam iron. Lakini sijui kaa bado nguo inanuka.
Siwezi hama juu that's what naeeza afford. Please nisaidie on how to manage damp basement