Mnaomba mkiangalia side gani??

Nimekaa hivi nikaangalia maisha yangu nikashangaaa Huku nje madem tulisoma na wao they're living big😮‍💨 Mm Niko tu nachase degree yenye inanichizisha😭 Meanwhile my friends wako huko nje wanakula furaha Unaingia huko IG post za madem ni waki unpack magift expensive kama si hivo wana-vlog weekend yao ya hidden gems wameenda na mastaycations. On this side, mzazi anatuma elfu moja inisukume week mzima 😭 wengine wakitumiwa iphone 16 na money bouquet. Tukiingia sector ya wababa Sina luck😂😂well I'm pretty (I think so) but eh! Hapana Kwani wale wakuspoiliana wanatolewa wapi?? The pressure is getting worse but at this point Wacha hio peer pressure inibebe😂😂 at least I get experience hii story ya small girl big God. Ni Friday masaa za madem kukujiwa waende sherehe meanwhile Niko hapa nazubaaa tu. Mnigawie mbaba yawa😂😂 Ama kwani hakuna sugar daddy anataka sugar anitafute??? Send help Anyway I blame ruto 😂