Wanaume

Mbona wasee wakucheke at your lowest?,Naona wasee wanatupia Kairo cards huko X baada ya kubanbwa na DCI na pia biz yake imetingika kiac ..Thought men we need to stand with each other time mambo ya msee inakuwa ngumu